Judges 21:12

12 aWakawakuta watu waishio Yabeshi-Gileadi wanawali mia nne ambao hawajakutana kimwili, nao wakawachukua kwenye kambi huko Shilo katika nchi ya Kanaani.

Copyright information for SwhKC